Kocha mpya wa Lazio ameamua kusepa siku 2 baada ya kuchaguliwa...Marcelo Bielsa amewashangaza hata uongozi wa Lazio kwa uamuzi wake wa kusepa...Simone Inzaghi atakaimu nafasi hiyo kwa muda...Bielsa inasemekana anataka kuchukua kazi ya ukocha wa Argentina baada ya kocha kuondoka...Lazio wanaweza kumpeleka Mahakamani kwa kuvunja mkataba ghafla...Bofya hapa upate habari zaidi.
0 Yorumlar